Be Cool, Be Strong, Be Real, Be Yourself Alicia Keys Stuns with no makeup for Elle Brasil Magazine September Issue
Alicia Keys alianzisha hii movement ya no
make up mwaka 2016 alipo andika Time to uncover ,akiwa ana focus kwenye
her own beauty na kuzikacha make up.
lakini still amependeza cz hiv ndivyo mungu alivokuumba bwana be your self swiz beat kampendea hivi usijidanganye kwa uzuri wa foundation bana
wew kama mwanamke jikubali
Be Cool, Be Strong, Be Real, Be Yourself , and good reading!
She looked radiant without any makeup on the cover of Fault Magazine in July 2016.
No comments:
Post a Comment