huddah afunguka kuhusu bifu ya ally kiba na diamond - Olgertz
TANGAZA NASI HAPA

Breaking News

Home Top Ad

TANGAZA NASI HAPA

Friday 25 August 2017

huddah afunguka kuhusu bifu ya ally kiba na diamond

Image result for picha za huddah 

Huddah ambae ni Mrembo kutoka Kenya aliepata umaarufu wake kupitia shindano la Big Brother Africa, ni shabiki mkubwa wa Bongofleva na amekua akifatilia vitu vingi vinavyoendelea kwenye muziki huu ambao ni mkubwa pia nchini Kenya.
Baada ya kusikia kuhusu beef inayoendelea, Huddah kama shabiki mwingine yeyote ametoa ushauri wake na alianza kwa kusema “napenda muziki wa Bongofleva, Wakenya wanapenda sana Alikiba… mimi napenda muziki wa Alikiba lakini hata Diamond sidhani kama ni mbaya, mziki wake ni mzuri na ni Mfanyabiashara”

No comments:

Post a Comment