Khloe Kardashian anatarajia her first Baby kutoka kwa NBA Star - Olgertz
TANGAZA NASI HAPA

Breaking News

Home Top Ad

TANGAZA NASI HAPA

Wednesday 27 September 2017

Khloe Kardashian anatarajia her first Baby kutoka kwa NBA Star

Tristan Thompson ni star wa timu ya NBA toka marekaniImage result for khloe kardashian tristan

Habari hizi zimekuja wakati Kylie Jenner nae wakisema ni mjamzito ,japo haja comfirm but Baba yake now mama Caityln Jenner alisema mwanae huyu mwenye miaka 20 ni mjamzito .aki expect baby girl na boyfriend wake Rapper Scott.
The Kardashian wana sherehekea miaka 10 ya show yao na sasa hivi wanafanya review ya show yao wengine wanasema wametoa news hizi sababu ya Kiki ya show but who cares point is she is pregnant.Image result for khloe kardashian tristan


Khloe atakua sister number 3 anaetarajia mtoto huku Kim na Kanye wakitarajia mtoto wao wa 3 ,Kylie na sasa Khloe wao the girls are into having babies right now.
according to people  News of Khloé’s first baby on the way comes months after she admitted on the show’s season 13 finale — following news that her uterus looked normal after an initial fertility scare leading her to cease taking birth control — that she and her boyfriend have “definitely [talked] about starting a family” together.
“He wants to have about five or six kids with me and that’s lovely,” said Kardashian, who initially visited the fertility specialist to see if she could serve as a potential surrogate for sister Kim. “We could start at one and we could grow from there. But now knowing I’m not on birth control is scary. It’s like a really big step.

No comments:

Post a Comment